The 48 th Congregation for the Conferment of Degrees and Award of Diplomas
Egerton University Anthem
God of the universe to thee we pray,
Bless our university,
A world class varsity for humanity advancement,
Egerton University we are.
Passion for excellence,
Devotion to duty,
Professionalism thus until, in one accord in one accord,
Egerton University we are
Ushirikiano na haki kwa wote,
Elimu hakika tunapata,
Ujuzi wa maendeleo ya kimataifa,
Egerton Chuo chetu cha hakika
Kwa ufanisi,
Kujitolea,
Utenda kazi milele,
Tukiungana kwa pamoja,
Egerton Chuo chetu cha hakika In our varsity is set to achieve,
Great opportunities through research,
And transforming lives through quality education,
Egerton University we are
Kwa ufanisi,
Kujitolea,
Utenda kazi milele,
Tukiunganakwapamoja,
Egerton Chuo chetu cha hakika.
East Africa Anthem
Ee Mungu twaomba uilinde
Jumuiya Afrika Mashariki
Tuwezeshe kuishi kwa amani
Tutimize na malengo yetu.
Jumuiya Yetu sote tuilinde
Tuwajibike tuimarike
Umoja wetu ni nguzo yetu
Idumu Jumuiya yetu.
Uzalendo pia mshikamano
Viwe msingi wa Umoja wetu
Na tulinde Uhuru na Amani
Mila zetu na desturi zetu.
Tuwajibike tuimarike
Umoja wetu ni nguzo yetu
Idumu Jumuiya yetu.
Viwandani na hata mashambani
Tufanye kazi sote kwa makini
Tujitoe kwa hali na mali
Tuijenge Jumuiya bora
Kenya National Anthem
O, God of all creation Bless this our land and nation
Justice be our shield and defender,
May we dwell in unity
Peace and liberty
Plenty be found within our borders.
Let one and all arise
With hearts both strong and true,
Service be our earnest endeavour,
And our Homeland of Kenya
Heritage of splendor
Firm may we stand to defend.
Let all with one accord In common bond united
Build this our nation together
And our glory of Kenya
The fruit of our labour
Fill every heart with thanksgiving.